Asrangue Souleymane

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asrangue Souleymane (alizaliwa 1982 huko Bangui) Ni mchezaji wa mpira wa kikapu wa zamani aliecheza nafasi ya mshambuliaji wa mbele katika chuo kikuu cha New Orleans Privateers.[1]Souleymane alianza kazi yake na Cincinnati Bearcats.Anatoka Jamhuri ya Afrika ya Kati na alichezea timu yake ya taifa kwenye Mashindano ya FIBA Afrika ya 2005 na 2007.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2011-07-17. Iliwekwa mnamo 2022-09-03.