Fortunatus Lukanima
Mandhari
(Elekezwa kutoka Askofu Lukanima)
Fortunatus Lukanima (8 Desemba 1940 - 12 Machi 2014) alikuwa askofu Mkatoliki nchini Tanzania.
Aliwekwa wakfu na Kardinali Laurean Rugambwa mwaka 1989. Tangu mwaka huo alikuwa askofu wa Jimbo la Arusha hadi 1998, alipojiuzulu.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Ukurasa wa Askofu Lukanima katika Catholic Hierarchy
- Bishop Fortunatus M. Lukanima Ilihifadhiwa 26 Agosti 2018 kwenye Wayback Machine.
- TANZANIA: AMECEA Secretariat and TEC Mourn the Death of Bishop Fortunatus Lukanima
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |