Nenda kwa yaliyomo

Asinisi Fina Opio

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Asinisi Fina Opio ni mwanasayansi wa biolojia ya binadamu wa Uganda, mtafiti na profesa katika Chuo Kikuu cha Bishop Stuart. Fina ni mwanachama wa Baraza la Sayansi na Teknolojia, Chama cha India cha Phytopathology, Kamati ya Kiufundi ya Kilimo, na Chama cha Sayansi ya Mazao ya Afrika.

Maisha ya awali na kazi

[hariri | hariri chanzo]

Mnamo mwaka 1979, Asinisi Opio alipata Master of Science kutoka Chuo Kikuu cha Nairobi, na mwaka 1992 akiwa katika Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo, alipata Doctor of Philosophy katika utafiti wa magonjwa ya mimea.[1]

Baadaye, Fina alikua Kiongozi wa Programu ya Maharagwe na Afisa Mkuu wa Utafiti, kisha akawa Mkurugenzi wa Utafiti wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo na Uzalishaji wa Wanyama Namulonge.

  1. Clesensio Tizikara (1 Novemba 2019). "Final report. Investing in Women as Drivers of Growth: A Genderbased Assessment of the Science, Technology and Innovation Ecosystem in Uganda" (PDF). ruforum.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2023-08-03. Iliwekwa mnamo 13 Septemba 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asinisi Fina Opio kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.