Nenda kwa yaliyomo

Ashraf Abbasi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Ashraf Khatoon Abbasi (1925 - 2014) alikuwa mwanasiasa kutoka Pakistan na mwanamke wa kwanza kushika wadhifa wa Naibu Spika wa Bunge la Taifa la Pakistan.

Alikuwa mfuasi wa karibu wa chama cha Pakistan Peoples Party (PPP) na viongozi wake, Zulfikar Ali Bhutto na Benazir Bhutto. Pia alikuwa mjumbe wa Bunge la West Pakistan kuanzia mwaka 1962 hadi 1965. Baadaye alijiunga na PPP na akashinda uchaguzi katika jimbo lake mwaka 1970.[1][2]

  1. ↑ ["Begum) Ashraf Abbasi passes away". Daily Dawn.com. 4 Agosti 2014. Iliwekwa mnamo 18 Septemba 2015. {{cite news}}: Check |url= value (help)
  2. ↑ ["Transitions): Begum Ashraf Abbasi laid to rest". Daily Tribune.com.pk. 5 Agosti 2014. Iliwekwa mnamo 18 Septemba 2015. {{cite news}}: Check |url= value (help)
Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ashraf Abbasi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.