Nenda kwa yaliyomo

Ashleigh Barty

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchezaji wa Kriketi Ashleigh Barty
Mchezaji wa Kriketi Ashleigh Barty

Ashleigh Barty (alizaliwa Aprili 24,1996) ni mchezaji mahiri wa Australia na mchezaji wa zamani wa kriketi. Anashika namba 1 duniani katika Women's Tennis Association (WTA) na ni Muaustralia wa pili kushika namba 1 baada ya mchezaji mwenzake mwenye asili ya Australia Evonne Goolagong Cawley. Amekuwa pia katika wachezaji 10 wa juu mara mbili, amefanikiwa kuwa katika kiwango cha juu akiwa namba 5 duniani.