Kabila la Asheri

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Asheri (kabila))
Kabila la Asheri

Kabila la Asheri ni mojawapo kati ya makabila ya Israeli ambayo kwa jumla ni 12, kutokana na watoto wa kiume 12 wa Yakobo Israeli.

Lilipewa na Yoshua eneo zuri kaskazini mwa nchi, kwenye pwani ya Mediteranea. Ni kati ya makabila ya kwanza (732 KK) kupelekwa na Waashuru uhamishoni Mesopotamia na hatimaye kupotea huko.

Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kabila la Asheri kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.