Asha Rashid

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Asha Rashid Mwalala (amezaliwa 1 Januari 1989) ni mchezaji wa kandanda au mpira wa miguu akiichezea klabu ya wanawake ya JKT Queens ya Tanzania na timu ya taifa ya Tanzania ya wanawake Twiga Stars.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Asha Rashid kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.