Ascelin (askofu)
Mandhari
Ascelin (au Anselm) alikuwa Askofu wa Rochester katika enzi za kati.
Kabla ya kuchaguliwa kuwa askofu, Ascelin alikuwa mkuu wa Monasteri ya Dover huko Kent. Alifanywa kuwa askofu mwaka 1142. Alifariki tarehe 24 Januari 1148.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ British History Online Bishops of Rochester Archived 14 Februari 2012 at the Wayback Machine accessed on 30 October 2007
- ↑ Fryde, et al. Handbook of British Chronology p. 267
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |