Aryeh Moskona
Mandhari
Aryeh Moskona (Kiebrania: אריה מוסקונה; 29 Julai 1947 – 20 Septemba 2025) alikuwa mwigizaji, msanii wa sauti na mwimbaji kutoka Israeli. Alifariki kwa saratani tarehe 20 Septemba 2025 akiwa na umri wa miaka 78. [1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Aryeh Moskona’s filmography, ishim.co.il; accessed 25 February 2025 (in Hebrew)
- ↑ "אני, אריה מוסקונה". Ynet (kwa Kiebrania). 6 Mei 2008. Iliwekwa mnamo 25 Februari 2025.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Israeli Actor and Singer Aryeh Moskona Dies at Age 78". Haaretz. 20 Septemba 2025. Iliwekwa mnamo 20 Septemba 2025.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aryeh Moskona kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |