Nenda kwa yaliyomo

Arthur Rock

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arthur Rock (Alizaliwa Agosti 19, 1926) ni mfanyabiashara na mwekezaji nchini Marekani.[1] Akiwa makao yake Silicon Valley, California, alikuwa mwekezaji wa mapema katika makampuni makubwa kama Intel, Apple, Scientific Data Systems, na Teledyne.[2]


  1. Harvard Business School: "ARTHUR ROCK" retrieved October 8, 2015 Archived Septemba 24, 2015, at the Wayback Machine
  2. "Arthur Rock (MBA '51) - Alumni - Harvard Business School". Desemba 1997. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-04-12. Iliwekwa mnamo 2018-04-02.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur Rock kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.