Arthur Melo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arthur Melo

Arthur Henrique Ramos de Oliveira Melo (anayejulikana kama Arthur; alizaliwa 12 Agosti 1996) ni mchezaji wa soka wa Brazil ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Uingereza Liverpool akitokea kwenye academy ya Gremio mwaka 2017 amesajiliwa Barcelona kwenye dirisha la usajili 2018/2019.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arthur Melo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.