Nenda kwa yaliyomo

Artemis Simopoulos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Artemis P. Simopoulos ni daktari na mtaalamu wa homoni (endocrinologist) kutoka Marekani ambaye ameandika vitabu mbalimbali kuhusu lishe na afya. Yeye ndiye mwanzilishi na rais wa shirika lisilo la kiserikali la elimu liitwalo Center for Genetics, Nutrition and Health tangu mwaka 1990, na pia alikuwa mmoja wa waanzilishi wa International Society for the Study of Fatty Acids and Lipids mwaka 1991.[1]

Simopoulos ni mtafiti anayechapisha tafiti kuhusu lishe na afya, na pia huandaa mikutano ya kisayansi kuhusu mada hizo.[2][3][4]

Anajulikana sana kwa kazi zake kuhusu mafuta yenye asidi nyingi zisizoshiba.[5]

Pia alikuwa mwenyekiti wa kamati ya uratibu wa lishe ya National Institute of Health kwa muda wa miaka tisa.[6]

  1. ↑ European Food Information Council. [(https://www.eufic.org/en/whats-in-food/article/highlights-from-the-11th-biennial-congress)[dead link] "Highlights from the 11th Biennial congress of the international society for the study of fatty acids and lipids (ISSFAL) 2014"], 26 Machi 2016. Iliwekwa kumbukumbu 21 Julai 2019.
  2. ↑ Ravn, Karen. [(https://www.latimes.com/health/la-xpm-2011-nov-21-la-he-best-mediterranean-diet-20111121-story.html)[dead link] "Study links Greek diet to longer life"], Los Angeles Times, 21 Novemba 2011. Iliwekwa kumbukumbu 21 Julai 2019.
  3. ↑ Payer, Lynn. [(https://www.nytimes.com/1988/04/17/magazine/food-facts.html) "Food Facts"], The New York Times, 17 Aprili 1988. Iliwekwa kumbukumbu 21 Julai 2019.
  4. ↑ Greenberg, Paul. [(https://books.google.com/books?id=9Ok6DwAAQBAJ) The Omega Principle: Seafood and the Quest for a Long Life and Healthier Planet], Penguin Books, 2018, ISBN 9780143111115 (jalada laini), ukurasa 40–41.
  5. ↑ Allport, Susan. [(https://books.google.com/books?id=TdQhZFWOU_MC&q=The+Queen+of+Fats) The Queen of Fats: Why Omega–3s Were Removed from the Western Diet and What We Can Do to Replace Them], University of California Press, 2006, ISBN 9780520253803, ukurasa 108–112.
  6. ↑ Bourne, Jerome. [(https://newspaperarchive.com/new-castle-news-mar-01-1994-p-14/) "Good genes a factor in what you can eat"], New Castle News, 1 Machi 1994, ukurasa wa 14. subscription required

Kosa la Lua katika package.lua kwenye mstari wa 80: module 'Module:Authority control/auxiliary' not found.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Artemis Simopoulos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.