Arte Moreno
Mandhari
Arturo "Arte" Moreno (Alizaliwa Agosti 14, 1946) ni mfanyabiashara nchini Marekani. Mnamo Mei 15, 2003, alikua Mmarekani wa kwanza wa Meksiko kumiliki timu kuu ya michezo nchini Marekani aliponunua timu ya baseball ya Anaheim Angels kutoka kwa The Walt Disney Company.Mnamo Agosti 2022, alitangaza kwamba atachunguza uwezekano wa kuuza franchise hiyo, lakini mnamo Januari 2023, aliamua kutoiuza timu hiyo.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Mendez, Davis (Machi 4, 2013). "Tucson born Moreno among Forbes wealthiest". Tucson Weekly. Iliwekwa mnamo Januari 5, 2018.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Valenzuela, Sarah; DiGiovanna, Mike; Shaikin, Bill (2022-08-23). "Angels owner Arte Moreno has started exploring option of selling the team". Los Angeles Times (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2025-07-31.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arte Moreno kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |