Nenda kwa yaliyomo

Arnold Houbraken

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arnold Houbraken (28 Machi 1660 - 14 Oktoba 1719) alikuwa mchoraji na mwandishi kutoka Dordrecht, Uholanzi. Sasa anakumbukwa zaidi kama mwandishi wa wasifu wa wachoraji wa Enzi ya Dhahabu wa Uholanzi.[1]

  1. "Dictionary for Art Historians". arthistorians.info. Iliwekwa mnamo 2012-06-13.