Arnold Ap
Mandhari
Arnold Clemens Ap (kisiwa cha Numfor, New Guinea ya Kiholanzi - 1 Julai 1946 – Jayapura, Irian Jaya, Indonesia, 26 Aprili 1984) alikuwa kiongozi wa kitamaduni wa Papua ya Magharibi, mtaalamu wa anthropolojia na mwanamuziki. Arnold alikuwa kiongozi wa kundi la muziki la Mambesak, na msimamizi wa makumbusho ya Cenderawasih University Museum. Pia alikuwa akitangaza utamaduni wa Papua kupitia kipindi chake cha redio cha kila wiki.[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Rutherford, Danilyn. 2001. "Remembering Sam Kapissa," Inside Indonesia, Julai–Septemba 2001. [(https://web.archive.org/web/20080513154002/http://www.insideindonesia.org/edit67/sam2.htm) "Inside Indonesia 67 - Remembering Sam Kapissa"]. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka [(http://www.insideindonesia.org/edit67/sam2.htm) chanzo] mnamo 13 Mei 2008. Iliwekwa mnamo 6 Juni 2008.
{{cite web}}: Check|archiveurl=value (help); Check|url=value (help)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Arnold Ap kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |