Armando Lombardi
Mandhari
Armando Lombardi (12 Mei 1905 – 4 Mei 1964) alikuwa askofu mkuu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia aliyefanya kazi katika huduma ya kidiplomasia ya Ukulu mtakatifu, ikiwemo miaka kumi aliyohudumu kama Balozi wa Papa (Apostolic Nuncio) nchini Brazil.[1][2]

Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Pontificia Accademia Ecclesiastica, Ex-alunni 1900 – 1949" (kwa Kiitaliano). Pontifical Ecclesiastical Academy. Iliwekwa mnamo 11 Mei 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Acta Apostolicae Sedis (PDF). Juz. la XLII. 1950. ku. 196, 213, 274, 508. Iliwekwa mnamo 10 Mei 2020.
{{cite book}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |