Nenda kwa yaliyomo

Armando Amaral dos Santos

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Armando Amaral dos Santos (4 Machi 1929 – 14 Oktoba 1973) alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki nchini Angola na askofu wa Jimbo Katoliki la Benguela.

Alipata daraja ya upadri mwaka 1956 na kisha akateuliwa kuwa askofu mwaka 1970. Alifariki dunia tarehe 14 Oktoba 1973 akiwa na umri wa miaka 44.[1]

  1. ↑ "Bishop Armando Amaral Dos Santos". Catholic Hierarchy. Iliwekwa mnamo 20 Novemba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.