Armagedoni

Majiranukta: 32°35′4.64″N 35°11′0.58″E / 32.5846222°N 35.1834944°E / 32.5846222; 35.1834944
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Maghofu ya Tel Megiddo.
Maghofu juu ya Tel Megiddo.

Armagedoni (kwa Kigiriki Ἁρμαγεδών, Harmagedōn,[1][2] [3] kutoka Kiebrania: הר מגידו, Har Megiddo) ni mahali pa Israeli kaskazini ambapo pametajwa na kitabu cha Ufunuo 16:16 kuwa patakuwepo mapigano makubwa ya mwisho kati ya wema na uovu.

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

  1. Bibletranslation.ws
  2. Scripturetext.com
  3. Collins English Dictionary, HarperCollins, 3rd ed., p. 81
Makala hii kuhusu mambo ya Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Armagedoni kama historia yake au athari wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.

32°35′4.64″N 35°11′0.58″E / 32.5846222°N 35.1834944°E / 32.5846222; 35.1834944