Arly-Singou

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arly-Singou ni mfumo mkubwa wa ikolojia wenye kilomita za mraba 6,388 nchini Burkina Faso . [1] Unajumuisha Hifadhi ya taifa ya Arli na Hifadhi yaSingou. [2] Inachukuliwa kuwa inajumuisha sehemu ya maeneo muhimu ya wanyamapori wa pori la savanna ambayo bado yapo Afrika Magharibi

Wanyama na historia[hariri | hariri chanzo]

Mnamo 1980, hesabu za angani zilifichua kwamba idadi kubwa zaidi ya swala katika eneo zima waliishi mbuga ya Arly-Singou. Uchunguzi wa hivi majuzi zaidi unaonyesha kwamba idadi ya swala imekuwa ikidumishwa kufikia mwisho wa karne ya 20. [3]

Picha[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Bauer, H.; Van Der Merwe, S. (2004). "Inventory of free-ranging lions Panthera leo in Africa". Oryx 38 (1): 26–31. doi:10.1017/S0030605304000055.  Unknown parameter |doi-access= ignored (help)
  2. Bouché, P., Lungren, C. G., Hien, B. and Omondi, P. (2004). Aerial Total Count of the "W"-Arli-Pendjari-Oti-Mandouri-Keran (WAPOK) Ecosystem in West Africa. April-May 2003. Benin, Burkina Faso, Niger, Togo: PAUCOF. 
  3. East, R. (1999). African antelope database 1998. Volume 21. IUCN. ISBN 2-8317-0477-4. 
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Arly-Singou kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.