Nenda kwa yaliyomo

Aristobulo wa Britania

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Picha takatifu ya Mt. Aristobulo.

Aristobulo wa Britania alikuwa Mkristo wa karne ya 1 aliyetajwa kama mmojawapo kati ya wafuasi 70 (au 72) ambao Yesu aliwatuma kuhubiri (Lk 10:1-24) halafu kama askofu wa kwanza wa Britania[1]. Pengine anafikiriwa kuwa yule aliyesalimiwa na Mtume Paulo katika Waraka kwa Waroma (16:10)[2][3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Waanglikana kama mtakatifu, pengine mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Machi[4], 16 Machi[5] na nyingine[6] kadiri ya madhehebu.

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. Pseudo-Hippolytus. "Church Fathers: On the Apostles and Disciples". New Advent. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. Carrington, Philip (2011). The Early Christian Church: Volume 1, The First Christian Church. Cambridge University Press. uk. 149. ISBN 9780521166416.
  3. Smithett Lewis, Lionel (1955). St Joseph of Arimathea at Glastonbury. London: James Clarke & Co.
  4. https://www.santiebeati.it/nomi/Detailed/1384.html
  5. "Apostle Aristobulus of the Seventy the Bishop of Britain". Calendar of Saints. Orthodox Church in America. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2012.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Baramhat 19 : Lives of Saints : Synaxarium - CopticChurch.net".
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.