Aristobulo IV
Mandhari
Aristobulo IV (31 KK – 7 KK) alikuwa mwana wa mfalme wa Yudea kutoka nasaba ya Herode, na alikuwa amemuoa binamu yake, Berenike, binti Kostobaro na Salome I. Alikuwa mwana wa Herode Mkuu na wa mke wake wa pili, Mariamne I, [1] mzao wa mwisho wa nasaba ya Wahasmoni.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "The Children of Aristobulus IV". www.jjraymond.com. 2008-08-22. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-01-06. Iliwekwa mnamo 2014-01-05.