Aristidh Ruçi
Mandhari
Aristidh Ruçi (11 Machi 1875 – 11 Aprili 1950[1]) alikuwa mmoja wa watia saini wa Azimio la Uhuru wa Albania mnamo mwaka 1912.[2] Aliendesha kampeni za kueneza elimu upande wa Kusini mwa Albania na alikuwa mmoja wa waanzilishi wa chama cha kizalendo cha Labëria Club.[3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Libri i Dashurise per Vloren" [The Book of Love for Vlora] (kwa Albanian). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-07-08. Iliwekwa mnamo 7 Februari 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "The Declaration of Albanian Independence". Texts and Documents of Albanian History. Robert Elsie. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Mei 2011. Iliwekwa mnamo 5 Februari 2010.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Vlerësimi për figurat e Qarkut të Vlorës" (PDF). 55. 22 Januari 2010. Iliwekwa mnamo 3 Februari 2010.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aristidh Ruçi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |