Aristarko wa Samothrace
Mandhari
Aristarchus wa Samothrace (takriban 220 KK – takriban 143 KK) alikuwa msomi wa Ugiriki wa kale katika fani ya grama, anayejulikana kama mtaalamu mwenye ushawishi mkubwa zaidi miongoni mwa wasomi wote wa mashairi ya Homer.
Alihudumu kama mkuu wa Maktaba ya Aleksandria, nafasi ambayo inaonekana alirithi kutoka kwa mwalimu wake, Aristofane wa Bizanti.[1][2]
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Probert, Philomen (2006). "Evidence for the Greek Accent". Ancient Greek Accentuation: Synchronic Patterns, Frequency Effects, and Prehistory. Oxford University Press. ku. 15–52. doi:10.1093/acprof:oso/9780199279609.003.0002. ISBN 0199279608.
- ↑ Schironi, Francesca (2018). The Best of the Grammarians: Aristarchus of Samothrace on the Iliad. Ann Arbor: University of Michigan Press. ISBN 9780472130764.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Aristarko wa Samothrace kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |