Arden Cho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Arden Cho

Amezaliwa Agosti 16, 1985
Kazi yake mwigizaji, mwimbaji na mwanamitindo wa marekani

Arden Cho (alizaliwa Agosti 16, 1985) ni mwigizaji, mwimbaji na mwanamitindo wa Marekani anayejulikana kwa nafasi yake kama Kira Yukimura katika Teen Wolf.

Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arden Cho kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.