Nenda kwa yaliyomo

Arash Ferdowsi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Arash Ferdowsi (Alizaliwa Oktoba 7, 1985) ni mfanyabiashara nchini Marekani mwenye asili ya Iran, na mwanzilishi mwenza wa Dropbox.[1] Alizindua Dropbox mwezi Juni 2007 akiwa bado mwanafunzi katika Massachusetts Institute of Technology (MIT), pamoja na mwenzake Drew Houston,aliacha masomo yake muhula wa mwisho ili kujenga kampuni hiyo.[2] Ferdowsi alihudumu kama afisa mkuu wa teknolojia (CTO) wa Dropbox kutoka mwaka 2007 hadi 2016.[3] Mnamo Machi 2018, Dropbox ilizinduliwa kwa hisa (IPO) yenye thamani ya dola bilioni 9.2.[4]

  1. "Arash Ferdowsi". Forbes. Iliwekwa mnamo 2026-04-16.
  2. "Inc.com 30under30: Drew Houston and Arash Ferdowsi, Founders of Dropbox". Inc. Iliwekwa mnamo 2026-04-16.
  3. "Dropbox appoints new CTO". VentureBeat. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2014-03-10. Iliwekwa mnamo 2026-04-16.
  4. "Dropbox Priced at $21 a Share in I.P.O." The New York Times. Iliwekwa mnamo 2026-04-16.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Arash Ferdowsi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.