Apostolos Vesyropoulos
Mandhari
Apostolos Vesyropoulos (Kigiriki: Απόστολος Βεσυρόπουλος; 29 Mei 1966 – 21 Agosti 2025) alikuwa mwanasiasa na mchumi wa Kigiriki ambaye aliwahi kuwa Naibu Waziri wa Sera ya Kodi na Mali ya Umma katika chama cha New Democracy hadi mwaka 2023.Pia aliwahi kuwa Mbunge wa jimbo la Imathia. [1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Hatzinikolaou, Prokopis. "New chance for debtors of the past | eKathimerini.com". www.ekathimerini.com (kwa English). Iliwekwa mnamo 2021-07-14.
{{cite web}}: CS1 maint: unrecognized language (link) - ↑ "New Greek Foreign and Finance Ministers Named as Mitsotakis Appoints Cabinet". GreekReporter.com (kwa American English). 2019-07-08. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-07. Iliwekwa mnamo 2021-07-14.
Ministry of Finance. Minister: Christos Staikouras. Deputy Minister on taxation policy and state assets: Apostolos Vesyropoulos.
- ↑ "Νέα κυβέρνηση ΝΔ: Αναλυτικά όλα τα βιογραφικά". www.news247.gr (kwa Kigiriki). 8 Julai 2019. Iliwekwa mnamo 2021-07-14.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Apostolos Vesyropoulos kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |