Apollinaire J. Kyélem de Tambèla
Mandhari

Apollinaire Joachim Kyélem de Tambèla (alizaliwa 11 Juni 1955) ni mwanasheria, mwanaharakati wa siasa za Uafrika (Pan-Africanist), mwandishi, na kiongozi wa [[serikali] wa Burkina Faso]. Alihudumu kama Waziri Mkuu wa Burkina Faso kuanzia mwezi Oktoba 2022 hadi alipoondolewa madarakani na Rais Ibrahim Traoré mnamo mwezi Desemba 2024.[1]
Maisha ya awali na Elimu
[hariri | hariri chanzo]Kyélem de Tambèla alizaliwa nchini Burkina Faso mnamo mwaka 1955. Baada ya kukamilisha elimu yake ya msingi na sekondari nchini Burkina Faso, alienda kusoma nchini Ufaransa, ambako alitunukiwa shahada yake ya uzamivu (PhD) ya sheria mwaka 1986 kutoka Chuo Kikuu cha Nice. Alifundisha kama profesa katika Chuo Kikuu cha Ouagadougou na Shule ya Kitaifa ya Utawala na Ujaji (ENAM).[2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]| Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Apollinaire J. Kyélem de Tambèla kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |