Antun Vrančić
Mandhari
Antun Vrančić (pia anajulikana kama Antonio Veranzio; 30 Mei 1504 – 15 Juni 1573) alikuwa kiongozi wa dini, mwandishi, mwanadiplomasia, na Askofu Mkuu wa Esztergom katika karne ya 16.
Alizaliwa katika mji wa Dalmatia wa Šibenik (ambao sasa ni sehemu ya Kroatia), wakati huo ukiwa chini ya Jamhuri ya Venice. Vrančić pia anajulikana kwa jina lake la Kilatini, Antonius Verantius, huku hati za Kihungaria tangu karne ya 19 zikimtaja kama Verancsics Antal.[1]

Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Postage stamp overview: FAMOUS CROATS, Faust Vrančić". posta.hr. Croatian Post. Iliwekwa mnamo 2019-07-23.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |