Nenda kwa yaliyomo

Antonio Severini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonio Severini alikuwa kiongozi wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Askofu wa Gubbio (14441472) na Askofu wa Cagli (1439–1444). Mnamo 14 Desemba 1439, aliteuliwa kuwa Askofu wa Cagli wakati wa utawala wa Papa Eugenio IV. [1][2][3][4]

  1. "Bishop Antonio Severini" Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved October 7, 2016
  2. "Diocese of Gubbio" Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved February 29, 2016
  3. "Diocese of Gubbio" GCatholic.org. Gabriel Chow. Retrieved February 29, 2016
  4. Eubel, Konrad. HIERARCHIA CATHOLICA MEDII ET RECENTIORIS AEVI Vol II. ku. 115 and 193. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-10-04. Iliwekwa mnamo 2022-02-14.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.