Antonio Rüdiger

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Antonio Rüdiger

Antonio Rüdiger (alizaliwa 3 Machi 1993) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama beki wa klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza Chelsea FC na timu ya taifa ya Ujerumani.

Alianza kazi yake akiwa na klabu ya VfB Stuttgarta katika ligi ya Bundesliga.

Mwaka 2015 alijiunga na klabu ya AS Roma, awali kwa mkopo na mwaka mmoja baadaye kwa ada ya milioni 9.

Alisainiwa na Chelsea mwaka 2017 kwa wastani wa £ 27 milioni.

Football.svg Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio Rüdiger kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.