Nenda kwa yaliyomo

Antonio Marcello Barberini

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonio Marcello Barberini, OFMCap (18 Novemba 156911 Septemba 1646) alikuwa kardinali wa Italia na mdogo wa Maffeo Barberini, ambaye baadaye alikua Papa Urban VIII. Wakati mwingine anaitwa Antonio Mzee ili kumtofautisha na mtoto wa ndugu yake Antonio Barberini.[1][2]

  1. Miranda, Salvador. "BARBERINI, seniore, OFMCap, Antonio (1569-1646)". The Cardinals of the Holy Roman Church. OCLC 53276621. Iliwekwa mnamo 24 Agosti 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Antonio (Marcello) Cardinal Barberini (Sr.), OFMCap" Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved August 12, 2016
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.