Nenda kwa yaliyomo

Antonio Maramaldo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonio Maramaldo (alifariki 1514) alikuwa kasisi wa Kanisa Katoliki aliyepata kuwa Askofu wa Nusco (14851514).

Mnamo tarehe 21 Novemba 1485, aliteuliwa na Papa Innocent VIII kuwa Askofu wa Nusco. Alihudumu katika nafasi hiyo hadi alipofariki mwaka 1514. [1]

  1. Cheney, David M. "Bishop Antonio Maramaldo". Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo Juni 16, 2018.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) [self-published]
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.