Antonio María Barbieri
Mandhari
Antonio María Barbieri, OFMCap (alizaliwa kwa jina la Alfredo Barbieri, 12 Oktoba 1892 – 6 Julai 1979) alikuwa Kardinali wa Kanisa Katoliki la Uruguay. Alikuwa Askofu Mkuu wa Montevideo kuanzia mwaka 1940 hadi 1976 akapewa cheo cha kardineli.
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |