Antonio Cicco da Pontecorvo
Mandhari
Antonio Cicco da Pontecorvo, O.F.M., alikuwa prelati wa Kanisa Katoliki aliyewahi kuwa Askofu wa Caserta (1459 – 1477).
Alikuwa kuhani katika Shirika la Ndugu Wadogo (Order of Friars Minor). Tarehe 5 Novemba 1459, aliteuliwa kuwa Askofu wa Caserta na Papa Pius II. [1][2][3]
Alihudumu kama Askofu wa Caserta hadi kifo chake tarehe 21 Aprili 1477.
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Bishop Antonio Cicco da Pontecorvo, O.F.M." Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved March 21, 2016
- ↑ "Diocese of Caserta" Catholic-Hierarchy.org. David M. Cheney. Retrieved February 29, 2016
- ↑ "Diocese of Caserta" GCatholic.org. Gabriel Chow. Retrieved February 29, 2016
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |