Nenda kwa yaliyomo

Antonio Blanco

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonio Blanco Conde (amezaliwa 23 Julai, 2000) ni mchezaji wa kulipwa wa mpira wa miguu kutoka Hispania anayacheza hasa kama kiungo mkabaji kwa klabu ya Deportivo Alavés inayoshiriki La Liga, pamoja na timu ya taifa ya Hispania ya mpira wa miguu.

Blanco alijumuishwa katika orodha ya “Next Generation 2017” ya jarida la The Guardian.[1][2]

  1. "Next Generation 2017: 60 of the best young talents in world football". The Guardian. 4 Oktoba 2017. Iliwekwa mnamo 30 Desemba 2019.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Karim Benzema hits brace as Real Madrid ease past Cadiz and go top of La Liga". eurosport.com. 21 Aprili 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antonio Blanco kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.