Antonio Bettini
Mandhari
Antonio Bettini (13 Juni 1396 – 22 Oktoba 1487) alikuwa askofu wa Foligno, mwanadiplomasia, na mwandishi wa Italia.
Bettini alizaliwa Siena mwaka 1396. Alijiunga na konventi ya Wajesuati ya San Girolamo huko Siena mnamo 1439 na alifanya kazi kwa karibu na Papa Pius II.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |