Antonino Scopelliti
Mandhari
Antonino Scopelliti (9 Aprili 1939 – 22 Oktoba 2023) alikuwa askofu mmisionari wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Alihudumu kama Askofu Msaidizi wa Jimbo Katoliki la Ambatondrazaka (Madagaska) kuanzia mwaka 1991 hadi 1993, na baadaye kama Askofu wa jimbo hilo kuanzia 1993 hadi 2015. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Cipollone, Giuglio (2016). "Antonio Scopelliti: 50 anni di fedeltà, sacerdote e vescovo missionario". Trinità e liberazione (kwa Kiitaliano). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 9 Novemba 2018. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2018.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |