Nenda kwa yaliyomo

Antonino Raspanti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonino Raspanti (alizaliwa Alcamo, 20 Juni 1959) ni Askofu wa Italia wa Kanisa Katoliki; amekuwa Askofu wa Acireale tangu 26 Julai 2011. [1]

  1. "Chiese di Sicilia - Conferenza Episcopale Siciliana" (PDF). www.chiesedisicilia.org. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2017-08-28. Iliwekwa mnamo 2018-02-10.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.