Nenda kwa yaliyomo

Antonino Orrù

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Antonino Orrú (23 Aprili 192813 Agosti 2022) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Italia.

Alizaliwa nchini Italia akapewa daraja ya upadre mwaka 1952. Alihudumu kama askofu wa Jimbo Katoliki la Ales-Terralba kuanzia 1990 hadi alipostaafu mwaka 2004.[1]

Orrú alifariki dunia tarehe 13 Agosti 2022 akiwa na umri wa miaka 94.

  1. "Bishop Antonino Orrù". www.catholic-hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 15 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.