Antoni de Gimbernat
Mandhari
Antonio de Gimbernat y Arbós (1734–1816) alikuwa mpasuaji na mtaalamu wa anatomia kutoka Hispania.
Anajulikana kwa kuweka msingi wa mbinu za kisasa za matibabu ya ngiri ya kinena (inguinal hernia). Pia alieleza kwa undani muundo wa anatomia ya maeneo ya kinena (inguinal canal) na sehemu ya juu ya paja (femoral triangle) katika mwili wa binadamu.[1][2][3]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ [(http://www.sohah.org/zona-socios/historia-de-la-hernia/antonio-de-gimbernat-y-arbos-1734-1816/)[dead link] Antonio de Gimbernat y Arbós (1734–1816)]. Sociedad Hispanoamericana de Hernia
- ↑ Honoring Don Antonio de Gimbernat. Anatomist and Surgeon (1734–1816). European Journal of Anatomy, Vol. 20, Suppl. 1 (2016).
- ↑ Mestres-Ventura, P. (2022). Antonio de Gimbernat i Arboç (1734–1816). Arola Editors.
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Antoni de Gimbernat kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |