Anton Harapi
Mandhari
Anton Harapi (5 Januari 1888 – 20 Februari 1946) alikuwa padri Mfransisko, mwalimu, mhadhiri, mchapishaji, na kiongozi wa kisiasa wa Albania wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia. Katika miaka ya kwanza ya utawala wa kikomunisti nchini Albania, alinyongwa kwa tuhuma ya kushirikiana na Ujerumani ya Kinazi na Italia ya Kifashisti, Mataifa ya Mhimili (Axis).[1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Ramet, Sabrina P. (1990). Catholicism and Politics in Communist Societies. Christianity under stress. Juz. la 2. Duke University Press. uk. 241. ISBN 9780822310105.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |