Antoku wa Japani

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mchoro wa Antoku

Antoku (22 Desemba, 117825 Aprili, 1185) alikuwa mfalme mkuu wa 81 (Tenno) wa Japani. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Tokohito, na alikuwa mwana wa Tenno Takakura. Mwaka wa 1180 alimfuata babake. Ingawa mdogo wake, Go-Toba, alitangazwa kumfuata mwaka wa 1183, Antoku akachukuliwa na kukimbia mji mkuu, yaani kulikuwa na wafalme wawili hadi kifo chake Antoku.

Angalia pia[hariri | hariri chanzo]

Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Japani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Antoku wa Japani kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.