Nenda kwa yaliyomo

Antipapa Yohane XVI

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Antipope John XVI)

Antipapa Yohane XVI (jina la Kiyunani: Ιωάννης Φιλάγαθος, Ioannis Philagathos; kwa Kiitalia: Giovanni Filagato; kwa Kilatini: Johannes Philagathus; takriban 945 – takriban 1001) alikuwa antipapa kutoka mwaka 997 hadi 998. Alikuwa askofu wa Capaccio na alijulikana kwa jina hili.[1]

  1. Levillain, Philippe, mhr. (2002). The Papacy: An Encyclopedia. Juz. la 2. Routledge. uk. 646.
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.