Antipapa Adalbati
Mandhari
Antipapa Adalbati (au Albati) alichaguliwa kuwa Papa wa Kanisa Katoliki mnamo Februari 1101 na alihudumu kwa siku 105. Alikuwa mgombea wa chama cha Roma kilichompinga Papa Paskali II na leo anachukuliwa kama antipapa. Kabla ya kuchaguliwa, aliteuliwa kuwa kardinali na antipapa Klementi III.
Baadaye alikamatwa na wafuasi wa Paskali II na kulazimishwa kutumia maisha yake yaliyosalia kama mmonaki Mbenedikto.[1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ *Miranda, Salvador. "ALBERTO, O.S.B. (?-?)". The Cardinals of the Holy Roman Church. Florida International University Libraries. OCLC 53276621.
- ↑ Andrea Piazza, "Alberto, antipapa", Enciclopedia dei Papi (Rome: 2000).
![]() |
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |