Nenda kwa yaliyomo

Anthony Sinisuka Ginting

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anthony Sinisuka Ginting ( alizaliwa 20 Oktoba 1996) ni mchezaji wa badminton kutoka Indonesia. Alianza kujitokeza kimataifa aliposhinda medali ya shaba katika Michezo ya Asia 2018, akiwa pia alikuwa ameshinda medali ya shaba ya Olympics za Vijana 2014.

Katika Olympics za Majira ya Joto za 2020, alishinda medali ya shaba katika mchezo wa single za wanaume.[1]

  1. "Indonesia's Anthony Ginting wins in straight sets to secure men's badminton singles bronze". Kamati ya Maandalizi ya Tokyo ya Olimpiki na Paralimpiki. 2 Agosti 2021. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2 Agosti 2021. Iliwekwa mnamo 20 Agosti 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthony Sinisuka Ginting kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.