Nenda kwa yaliyomo

Anthony Sanusi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Anthony Saliu Sanusi (2 Januari 19118 Desemba 2009) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki nchini Nigeria.

Alizaliwa Iperu, Nigeria mnamo 1911 akapadrishwa tarehe 17 Desemba 1944 huko Lagos, Nigeria.

Mnamo 29 Mei 1969, aliteuliwa kuwa askofu wa jimbo jipya la Ijebu-Ode na akapewa daraja ya uaskofu tarehe 1 Agosti 1969. Alihudumu kama askofu wa Jimbo la Ijebu-Ode hadi alipostaafu mwaka 1990.

Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.