Nenda kwa yaliyomo

Anthony Poola

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anthony Poola

Anthony Poola (alizaliwa 15 Novemba 1961) ni kiongozi wa Kanisa Katoliki kutoka India ambaye amekuwa Askofu Mkuu wa Hyderabad tangu 2021. Alikuwa Askofu wa Kurnool kutoka 2008 hadi 2020. Kabla ya kuwa askofu, alihudumu kama padre wa Dayosisi ya Cuddapah.

Mnamo 27 Agosti 2022, Papa Fransisko alimteua Poola kuwa Kardinali katika mkutano uliofanyika Vatikani. Yeye ni Kardinali wa kwanza kutoka jamii ya Dalit na wa kwanza kutoka kabila la Watelugu.[1]

  1. "Hyderabad Archbishop Anthony Poola to be first Dalit cardinal". The News Minute. 30 Mei 2022. Iliwekwa mnamo 31 Mei 2022.{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.