Anthony Muheria
Mandhari
Anthony Muheria (aliyezaliwa 27 Mei 1963) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Kenya ambaye anahudumu kama Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Nyeri. Aliteuliwa kuwa Askofu Mkuu wa Nyeri tarehe 23 Aprili 2017. [1][2]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ David M. Cheney (29 Agosti 2020). "MicroData Summary for Anthony Muheria". Kansas City: Catholic-Hierarchy.org. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ John Paul Simiyu (21 Machi 2020). "Meet CBK Governor's Little Known Priest Brother". Nairobi: Kenyans.co.ke. Iliwekwa mnamo 30 Agosti 2020.
{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |