Nenda kwa yaliyomo

Anthony Masunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Anthony Masunga

Anthony Masunga ni Mkurugenzi Mtendaji wa Uendeshaji (Chief Operating Officer – COO) wa Botswana Telecommunications Corporation (BTC), baada ya awali kushika nyadhifa za Meneja Mkuu (General Manager) na Meneja Msaidizi wa Biashara (Acting Manager Commercial).

Anthony Masunga, aliyezaliwa Francistown, alianza rasmi kushika nyadhifa za COO na Mkurugenzi Mtendaji Mkuu (CEO) Januari 2017.[1]

Mandharinyuma

[hariri | hariri chanzo]

Anthony Masunga ameteuliwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji (Managing Director) wa Botswana Telecommunications Corporation (BTC) tangu mwanzo wa mwaka 2017, baada ya kuhudumu kama Mkurugenzi Mtendaji Msaidizi (Acting Managing Director) wa kampuni hiyo kuanzia 20 Julai 2016 hadi alipoteuliwa rasmi Januari 1, 2017. Aidha, Bw. Masunga pia amehudumu kama Afisa Mkuu wa Kiufundi (Chief Technical Officer) wa kampuni ya Mascom.

  1. Masunga, Anthony. "Appointment as Chief Operating Officer at Be-mobile". www.sundaystandard.info/new-era-begins-btc. Sunday Standard. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-09-02. Iliwekwa mnamo 2 Juni 2017.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Anthony Masunga kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.