Anthony Kirk-Greene
Mandhari
Anthony Hamilton Millard Kirk-Greene, (16 Mei 1925 – 8 Julai 2018) alikuwa mwanahistoria na mtaalamu wa ethnogrofia wa Uingereza, anayejulikana zaidi kwa kazi zake kuhusu historia ya Nigeria na historia ya utawala wa kikoloni wa Uingereza barani Afrika. [1]
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ "Masters of all they surveyed?". The Times. London. Iliwekwa mnamo Februari 26, 2016.
{{cite news}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
| Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Anthony Kirk-Greene kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |